'Tumeshinda lakini sijafurahia', mmoja wa mashabiki wa Simba SC ya Tanzania, baada ya kipyenga cha mwisho cha mchezo wao dhidi ya Stellenbosch FC katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la ...
Kabla ya mchezo, ulimwengu wa soka ulitawaliwa na maswali mengi kuhusu hatma ya dabi hii, kutokana na historia yake ya kuahirishwa na malalamiko ya "ukulwa na doto" katika ligi.
Mtifuano wa Ligi kuu Soka Tanzania Bara unaendelea leo Mei 5 kwa Mchezo mmoja katika hatua ya lala Salama Wekundu wa Msimbazi Simba wanakibarua kigumu ugenini dhidi ya Maafande JKT Tanzania. Simba ...
Timu Nne za Tanzania Simba, Yanga, Azam FC na Singida zimeendelea kujifua vyema kuelekea michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho. Simba SC, ambao wamekuwa na rekodi nzuri kwenye Ligi ...