Kabla ya mchezo, ulimwengu wa soka ulitawaliwa na maswali mengi kuhusu hatma ya dabi hii, kutokana na historia yake ya kuahirishwa na malalamiko ya "ukulwa na doto" katika ligi.
Tanzania inaweza kusimama kwa muda Jumamosi kupisha pambano la watani wa jadi Simba na Yanga ambalo limepangwa kupigwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam kuanzia saa 10: 00 za jioni. Mabingwa watetezi ...
Wakati Simba ikitambulisha wachezaji wapya sita, Yanga kupitia dirisha dogo imeingiza wachezaji wapya watano ambao ni kipa Hussein Masalanga, kiungo mkabaji Mohamed Damaro, winga Allan Okello na ...
Mashabiki wa Simba watakwenda uwanjani Jumamosi wakiwa na matumaini makubwa ya ushindi na hiyo imetokana na timu yao kushinda mechi sita mfululizo ... Jumamosi ya Febuary 20, uwanja wa taifa Dar es ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...
Timu Nne za Tanzania Simba, Yanga, Azam FC na Singida zimeendelea kujifua vyema kuelekea michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho. Simba SC, ambao wamekuwa na rekodi nzuri kwenye Ligi ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果