Hatimaye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/25 (TotalEnergies CAF Confederation Cup), yamefikia tamati baada ya fainali kati ya Simba Sports Club (Simba) kutoka Tanzania, na Renaissance ...
Ma bingwa wa ligi kuu nchini Tanzania msimu uliopita Simba Sports Club hapo jana imeshinda kombe la Ngao ya jamii ikiwa ni mechi ya uzinduzi wa ligi kuu msimu wa mwaka 2012 kwa kuishinda Azam Sports ...
Kwa mujibu wa mfadhili wa klabu hiyo, nyongeza hio ni ya kuwapa motisha zaidi wanapojiandaa katika mechi yao ya robo fainali katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika. Vigogo hao kutoka Mtaa wa ...
Mtifuano wa Ligi kuu Soka Tanzania Bara unaendelea leo Mei 5 kwa Mchezo mmoja katika hatua ya lala Salama Wekundu wa Msimbazi Simba wanakibarua kigumu ugenini dhidi ya Maafande JKT Tanzania. Simba ...
Leo Jumamosi, Mei 8, mechi ya soka ya watani wa jadi Tanzania, Simba na Yanga itachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ikiwa ni ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania msimu huu ...
Pazia la Ligi kuu soka Tanzania Bara linafunguliwa wiki hii huku Jumanne septemba 16 Wadau wa soka wanasubiri kwa hamu pambano la kukata na shoka litakalowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga.