Katika hali ya kawaida, mchezo huu ungebeba kila aina ya mvutano, makelele yangepigwa wiki nzima. Huu ndiyo mchezo wa kuamua ...
Uongozi wa Simba umelaani vitendo vya vurugu alivyofanyiwa Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Murtaza Mangungu baada ya kumalizika kwa ...
Saa 10:00 jioni leo Jumapili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, dakika tisini zitaamua hilo ambalo Abraham ...
Kabla ya mchezo, ulimwengu wa soka ulitawaliwa na maswali mengi kuhusu hatma ya dabi hii, kutokana na historia yake ya kuahirishwa na malalamiko ya "ukulwa na doto" katika ligi.
Klabu mbili maarufu za soka nchini Tanzania, Yanga na Simba zinateremka dimbani leo kwa mchezo wa ratiba ya ligi kuu unaotarajiwa kutoa mwelekeo wa mashindano hayo ya kandanda kwa mwaka 2024/25.
TUNISIA; MAUMIVU kwa mashabiki wa Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika yanaendelea msimu huu wa mwaka 2025/25, baada ya leo ...
Klabu ya soka ya Simba ya Tanzania inajitupa uwanjani leo Jumamosi kuikaba koo Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco katika mchezo wa duru ya kwanza ya fainali ya kuwania kombe la shirikisho barani ...
Leo tumekuandalia mengi ikiwemo fainali ya kombe la shirikisho la CAF kati ya Simba na RS Berkane, fainali za Afcon U20, Congo Brazaville yarejeshwa katika soka ya kimataifa, droo kamili ya michuano ...
DAR ES SALAAM: MSEMAJI wa Klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kumpokea na kumpa ushirikiano beki wa kushoto Nikson Kibabage, akisisitiza kuwa ni mchezaji mwenye uwezo mkub ...