Katika hali ya kawaida, mchezo huu ungebeba kila aina ya mvutano, makelele yangepigwa wiki nzima. Huu ndiyo mchezo wa kuamua ...
SIMBA inacheza nyumbani leo Jumapili dhidi ya Esperance de Tunis, lakini Waarabu wao hao wametua Zanzibar wakifuata mambo ...
Uongozi wa Simba umelaani vitendo vya vurugu alivyofanyiwa Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Murtaza Mangungu baada ya kumalizika kwa ...
Klabu mbili maarufu za soka nchini Tanzania, Yanga na Simba zinateremka dimbani leo kwa mchezo wa ratiba ya ligi kuu unaotarajiwa kutoa mwelekeo wa mashindano hayo ya kandanda kwa mwaka 2024/25.
TUNISIA; MAUMIVU kwa mashabiki wa Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika yanaendelea msimu huu wa mwaka 2025/25, baada ya leo ...
Hayawi, hayawi sasa yamekuwa! Yamebakia masaa machache tu wa kushuhudia ule mtanange wa Kariakoo Derby uliosubiriwa kwa hamu huko nchini Tanzania kati ya watani wa jadi, Simba Sports Club na Young ...