KWA miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mijadala kuhusu ni nani mwandishi bora wa nyimbo za Bongo Fleva, na mjadala huo umechukua nafasi kubwa miongoni mwa wadau wa sanaa, mashabiki na wachambuzi wa ...
Dar es Salaam. Kwa miaka yote Lava Lava anafahamika kama mwanamuziki wa Bongofleva mwenye sauti nzuri na mtunzi mwenye uwezo mkubwa wa kuandika nyimbo zenye hisia kali hasa kuhusu mapenzi na maisha.