Dar es Salaam. Yanga imekwea kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya KMC katika mchezo uliopigwa Uwanja wa KMC Complex. Huu ndiyo mchezo ambao ...