Dar es Salaam. Benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tunisia, limemtaja Mbwana Samatta kama mchezaji wa kuchungwa zaidi katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' katika Fainali za ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Kuna ...
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imetoa hati ya wito wa kufika mahakamani hapo kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na wenzake watano, kuhusiana na sakata la kushikiliwa kwa ...
Unguja. Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) limetangaza kutoa punguzo la asilimia 80 ya tozo ya aridhio (Wharfage) kwa bidhaa zote za chakula zinazoingia nchini kupitia bandari zote zinazohudumiwa na ...
Babati. Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limesema linamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Boay wilayani Babati, Eleth Mtaita akidaiwa kufanya uchochezi.
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeliengua katika mchakato wa kuwania Uenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), jina la Mwenyekiti wa Mtibwa Sugar, Said Suud.
Baadhi ya mawakala wa mgombea udiwani kata ya Masaba wilayani Butiama kupitia ACT Wazalendo wakiwa kwenye ofisi ya kata hiyo. Picha picha na Beldina Nyakeke Butiama. Mawakala 27 wa mgombea udiwani wa ...
Dar es Salaam. Ligi Kuu Tanzania Bara itarejea Jumamosi, Novemba 8, 2025 baada ya kusimama kwa muda hivi karibuni. Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na ile ya Championship zilisimama kwa muda katika ...
‎Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imekataa maombi ya kusimamishwa shauri la kudharau amri ya mahakama linalowakabili viongozi wa Chadema, wakiwamo Makamu Mwenyekiti (Bara), ...
Dar es Salaam. Unaweza kudhani ni tamthilia ya OttoMan inarekodiwa mahakamani, lah hashaa! bali ni tukio halisi baada ya mtu mmoja ambaye alipaza sauti akiomba kutoka juu eneo wanalokaa wasikilizaji ...