Yanga imefikisha pointi 10 baada ya kushinda mechi zake tatu na kutoa sare moja, ikiwarudisha Simba hadia nafasi ya pili ikiwa na pointi tisa, sawa na Pamba Jiji iliyo nafasi ya tatu.
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara, JKT Queens wametupwa nje kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ...
KIUNGO mshambuliaji wa Fountain Gate, Jimmyson Mwanuke amezitaja Simba na Singida Black Stars kuwa ndizo timu ambazo ...
JUZI Simba ilitoa ripoti ya kumkosa kipa namba moja, Moussa Camara, kwa kati ya wiki nane hadi 10 ikiwa siyo taarifa njema ...
LICHA ya kuanza msimu kwa kusuasua katika Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema timu ina mabadiliko, ...
MAMBO si mazuri kwa kocha wa zamani Azam FC, Bruno Ferry baada ya kuondolewa nchini Angola kwa hati ya dharura kutokana na ...
MABINGWA wa soka wa Ufaransa na Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris St-Germain wameripotiwa kutengeneza mchakato madhubuti kabisa ...
AKIWA na miaka takribani minane tangu ametoka kisanii, muziki wa Mario unaendelea kuwafikia mashabiki wapya kila siku, huku ...
SUPASTAA, Cristiano Ronaldo kijasho kinamtoka kwa sasa juu ya uwezekano wa kukutana na adhabu ambayo inaweza kumfanya akose ...
NYOTA wa zamani wa Azam, Mkenya Kenneth Muguna amesema licha ya kucheza Ligi mbalimbali katika fani yake ya soka hadi sasa, ...
KATIKA maisha kuna ndoto ambazo huja mapema, lakini safari ya kuzifikia huchukua muda, na pia unahitaji uamuzi mgumu na ...
“Wanawake hawa ni wataalamu, wanajitegemea na wana malengo. Mimi sipo kwa ajili ya misaada kama ni fedha na mimi nazitafuta ...