Dar es Salaam. Yanga imekwea kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya KMC katika mchezo uliopigwa Uwanja wa KMC Complex. Huu ndiyo mchezo ambao ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Kuna ...
Dar es Salaam. Serikali imetangaza kusitisha usafiri wa mabasi ya yaendayo haraka maarufu mwendokasi jijini Dar es Salaam ambazo zinatoa huduma kati ya Gerezani - Kimara na Gerezani - Mbagala.
Baadhi ya mawakala wa mgombea udiwani kata ya Masaba wilayani Butiama kupitia ACT Wazalendo wakiwa kwenye ofisi ya kata hiyo. Picha picha na Beldina Nyakeke Butiama. Mawakala 27 wa mgombea udiwani wa ...
‎Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imekataa maombi ya kusimamishwa shauri la kudharau amri ya mahakama linalowakabili viongozi wa Chadema, wakiwamo Makamu Mwenyekiti (Bara), ...
Mgombea ubunge Uyole kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(Chaumma),Ipyana Njiku akizungumza na mmoja wa wajasiriamali Soko la Uyole wakati akiomba kura na kuhamasisha kujitokeza kushiriki uchaguzi mkuu ...
Dar es Salaam. Unaweza kudhani ni tamthilia ya OttoMan inarekodiwa mahakamani, lah hashaa! bali ni tukio halisi baada ya mtu mmoja ambaye alipaza sauti akiomba kutoka juu eneo wanalokaa wasikilizaji ...
Dar es Salaam. Uongozi wa Klabu ya Yanga umevunja rasmi mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Romain Folz, ambaye amejiunga na timu hiyo mwanzo wa msimu. Taarifa iliyotolewa leo Oktoba 18, 2025 na Idara ...